Walinda amani kuathiriwa na upungufu wa misaada

Utawala wa Trump umekosoa vikali operesheni za kulinda amani ukishtumu kushindwa kwa misheni nchini Mali, DRC, na Jamhuri ya Afrika ya Kati na kutaja mabilioni ya dola zilizotumika, miradi mikubwa ya ufisadi na ubadhirifu uliopo nyuma yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS