Majeshi kikapu yasogezwa mbele Mashindano ya majeshi ya mpira wa kikapu CDF Cup yaliyotarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo jana jijini Dar es salaam yameahirishwa kutokana na muingiliano wa ratiba. Read more about Majeshi kikapu yasogezwa mbele