Nidhamu na kujituma kutanitunzia namba - Emily
Mtanzania anayeitumikia Klabu ya Neckarsulmer Sports Union ya nchini Ujerumani Emily Mgeta amesema, anaamini atadumu katika nafasi yake ya Ulinzi katika Klabu hiyo kutokana na kujituma katika kila mechi na kuweza kusababisha ushindi.