Wafanyabiashara kuingia Mikataba na Wagombea Urais
Jumuiya ya wafanyabiashara hapa nchini imesema kuwa itahakikisha kuwa inakaa na wagombea wa urais hapa nchini ili kutaka kujua kama atawasaidia ili wamuingize madarakani na kumjazisha mkataba kwa ajili ya kumfuatilia kama atatekeleza waliyo kubaliana