Polisi Morogoro wachunguza kutoweka kwa mtawa
“Taarifa ya kutoweka kwake imefikishwa katika kituo cha Polisi Disemba 3, 2025 mchana ikieleza kwamba Mtawa aitwaye Silianus Balyalemwa Korongo (49) Mkazi wa Mtaa na Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro ametoweka kutoka kwenye nyumba ya malezi ya Watawa"

