Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imeongeza muda. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa itaongeza muda wa siku nne tu wa kuandikisha wapiga kura kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Read more about Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imeongeza muda.