Wasanii wanogesha uzinduzi wa kampeni
wasanii mbalimbali nchini wakiwemo wa muziki na filamu kwa pamoja leo hii wamejumuika kutumbuiza katika uzinduzi wa kampeni za urais, ubunge na udiwani za Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

