Lolo ataka vijana kushiriki uchaguzi
Diva anayefanya poa katika tasnia ya uigizaji filamu na muziki Lolo da Princess amezungumzia nafasi yake kama kijana katika upande wa siasa kuwahamasisha vijana wenzake kushiriki vyema katika uchaguzi mkuu mwezi ujao.

