Pallaso kusaka madansa kwa milioni 5

Staa wa muziki wa nchini Uganda Pallaso

Pallaso, ameamua kuwekeza katika kutangaza rekodi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Bibble' ambapo kwa njia ya mtandao kwa sasa anaendesha shindano la mkali wa kudansi katika midundo ya rekodi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS