Mpoto: 'Asili imenitambulisha kimataifa'
Nyota wa kughani mashairi na muziki wa asili Mrisho Mpoto, ameweka wazi nafasi kubwa aliyoipata ya kutembelewa na kituo cha habari kikubwa cha kimataifa kutoka Marekani, baada ya kutambua mchango wake katika suala zima la utamaduni la lugha.

