Wakulima wadogo walia na ushuru wa mazao
Wakulima wadogo nchini wameendelea kulia na ushuru mkubwa wa mazao uliowekwa na serikali, ucheleweshwaji wa pembejeo na kushindwa kudhibitiwa kwa madalali wanyonyaji sokoni na kutaka serikali ijayo kuangalia upya masuala hayo.
