Serikali yawahakikishia wananchi usalama Okt. 25
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania imewahakikishia watanzania ulinzi na usalama wa raia na mali zao wakati wa zoezi la uchaguzi na kuwataka wananchi kupuuzia tarifa za vitisho zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.