Nuhu Mziwanda ni limbukeni - BASATA

Siku moja baada ya msanii Nuhu Mziwanda kulitaka Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuwa “updated” na jinsi sanaa ya sasa inavyokwenda, Baraza hilo wamemuita Nuhu Mziwanda ni limbukeni kwa kutaka kuiga kisicho cha kwake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS