Wasanii wengi hawana ubunifu - Songa Imeelezwa kwamba wasanii wengi nchini hawana ubunifu na kupenda kuiga kazi zingine, kitendo ambacho kinasababisha wasitengeneze kazi za kuwaenzi mashujaa wa taifa hili akiwemo Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Read more about Wasanii wengi hawana ubunifu - Songa