B.O.B naye kudondoka bondeni
Msanii wa kimataifa kutoka Marekani, Bobby Ray Simmons, maarufu zaidi kama B.O.B anatarajiwa kutua Afrika Mashariki mwishoni mwa mwaka huu, ambapo atatumbuiza huko nchini Kenya katika tamasha kubwa litakalofanyika Desemba 12.