Kipindupindu chaibuka tena Morogoro

Afisa Afya manispaa ya Morogoro Gabriel Malisa

Mlipuko wa Kipindupindu umeibuka tena katika kata ya mindu manispaa ya Morogoro baada ya mtu mmoja kufariki nyumbani kwake na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa manispaa hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS