Ruby ajipanga kuonja soko la albam

msanii wa muziki wa bongofleva nchini Ruby

Msanii wa muziki Ruby amesema kuwa, kwa sasa anajipanga kwa ajili ya kuachia Albam akiwa anajiamini kuwa atafanikiwa kuiuza licha ya kuwepo kwa changamoto ya kusuasua kwa mauzo ya albam za muziki Bongo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS