Mwili wa Celina Kombani waagwa Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuuaga mwili wa alieyekuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bi. Celina Kombani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS