Shule ni kikwazo kwa wasanii TZ
Mkuu wa Matukio kutoka Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Kwerugira Maregesi amesema kuwa, changamoto mbalimbali za kimaadili katika sanaa hususan muziki kwa sasa ni kutokana na wasanii wengi kutokwenda shule licha ya kuwepo shule nyingi za sanaa.