Tanzania kuchukua hatua 5 kulinda haki za kijinsia
Tanzania yatangaza hatua tano za kuendeleza haki za wanawake na usawa wa kijinsia na kuahidi kufanya mabadiliko makubwa ya kisera na kisheria ambapo miongoni mwa Sheria zitakazohusika ni Sheria ya Ndoa na Sheria ya Urithi katika utekelezaji wa SDGs