Ntibenda aagiza wasimamizi uchaguzi kuhakiki vifaa
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Arusha na Manyara, kuhakiki vifaa vya kupigia kura kama vipo sahihi kulingana na idadi ya wapiga kura, ili kuepusha kuahirishwa kwa uchaguzi kwa baadhi ya vituo.