NEC yasema imejipanga vizuri kwa ajili ya Walemavu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) Jaji Damian Lubuva.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesema kuwa imejipanga vizuri kuhakikisha watu wenye ulemavu wanapiga kura bila bugudha yoyote kwa kuwaandali mazingira rafiki.