NMB yazidi kutanuka kibiashara Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker Licha ya kupata mafanikio ya kifedha katika miaka 10 tangu ibinafsishwe benki ya NMB imeongeza idadi ya wateja wake kutoka laki sita mwaka 2005 hadi kufikia wateja milioni 2 mwaka huu. Read more about NMB yazidi kutanuka kibiashara