Wafuasi 14 wa CHADEMA kupandishwa kizimbani Iringa
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa Ramadhani Mungi.
Wafuasi 14 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) watapandishwa Mahakamani kwa mashtaka ya kuwafanyia vurugu wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM).