Wamachinga watakiwa kutotumika na wanasiasa

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza,Charles Mkumbo.

Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga jijini Mwanza, wametakiwa kutotumika na wanasiasa hususani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu bali wawe chanzo cha kuilinda amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS