Asilimia 97 ya Zahanati nchini hazina maabara
Asilimia 97 ya zahanati za serikali nchini zinadaiwa kuwa hazina maabara hatua inayosababisha makundi ya akina mama wajawazito, watoto walio na umri wa chini ya miaka 5 na wazee kupoteza maisha hasa sehemu za vijijini.