kuna maisha baada ya uchaguzi - Quick Rocka Msanii Quick Racka amewataka wasanii kuwaachia wanasiasa kazi zao za siasa, na wao kubaki kuwa watoa burudani kwenye kampenina kuwakumbusha kuna maisha ya sanaa baad ya uchaguzi. Read more about kuna maisha baada ya uchaguzi - Quick Rocka