JKT 6 wafariki JWTZ 2 wapotea ajali mbili tofauti.
Maofisa Wawili wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) wapotea baada ya ndege ya kufundishia waliyokuwa wanatumia kudaiwa kuangukia kwenye bahari ya hindi eneo la Kawe Jijini Dar es Salaam na kuzama jana.