DAWASCO yazindua kampeni ya Mama Tua Ndoo
Mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Dar es salaam DAWASCO imezindua kampeni ya Mama Tua Ndoo ya maji kichwani kampeni ambayo inalenga kurahisisha upatikanaji wa maji safi na salama katika jiji la Dar es salaam.