Wagonjwa wa saratani wazidi kuongezeka Tanzania
Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini Tanzania inaongezeka siku hadi siku hususani kwa wanawake ikielezwa kuwa hali hiyo inatokana na elimu iliyotolewa kwa wananchi hivyo wengi kujotokeza kupima afya zao.