Wananchi waaswa kuwa na utulivu Oktoba 25
Wananchi mkoani Arusha wametakiwa kuwa makini hasa katika kipindi cha uchaguzi na kuhakikisha kuwa wanapiga kura na kurudi mjumbani badala ya kubaki katika vituo vya kupiga kura kwani jukumu la usalama wa kura liko mikononi mwa vyombo vya usalama.