JK aagiza mamlaka husika zimalizane na madereva
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amezitaka mamlaka husika zinazohusiana na Usafiri wa barabara kukaa ili kuweza kutatua changamoto zinazowakabili madereva ikiwemo kupata mitakaba ya kudumu.