Wahasibu watakiwa kusimamia viapo katika Utendaji
Wahitimu wa bodi ya ya taifa na wakaguzi wa Hesabu nchini Tanzania (NBAA) ambao ni wataalamu wa masuala ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu wameaswa kulinda na kusimamia viapo vyao wakati wakitekeleza majukumu yao ya kihasibu.