Serikali iipe kipaumbele teknolojia - Vijana
Serikali imetakiwa kutoa kipaumbele katika masuala ya teknolojia, ili kuweza kukabiliana na maendeleo ya kisayansi na teknolojia yaliyopo, kwani mabadiliko ya sasa hivi ya dunia yanategemea teknolojia kwa kiasi kikubwa.