Kiingilio cha juu kuiona Stars na Malawi ni 10,000 Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumatano kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Malawi (The Flames) Read more about Kiingilio cha juu kuiona Stars na Malawi ni 10,000