Serikali itoe elimu ya kilimo mashuleni- Mtafiti Serikali imetakiwa kutoa elimu ya kilimo kuanzia shule za msingi, ili kuweza kutengeneza vijana watakaopenda kilimo na kuweza kujiajiri kupitia kilimo. Read more about Serikali itoe elimu ya kilimo mashuleni- Mtafiti