Fainali za Dance 100% jumamosi hii oktoba 10

Mashindano makubwa ya kucheza Afrika Mashariki ya Dance 100% 2015, yanatarajia kufikia kilele chake siku ya jumamosi ya tarehe 10/10/2015, na mshindi kujinyakulia kitita cha shilingi milioni tano za kitanzania, pamoja na zawadi nyingine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS