Kirya kupiga vita ugonjwa wa saratani
Star wa muziki Maurice Kirya wa Uganda amegawa faida anayopata kutoka katika biashara ya mgawaha anayofanya, ambapo atakuwa akichangia kiasi cha pesa kutoka mauzo yake kusaidia harakati za kuongeza uelewa wa tatizo la ugonjwa saratani nchini humo.