Vyama vya siasa fateni sheria za uchaguzi-TAKUKURU
Mwanasheria wa TAKUKURU Bi. Restituta Kessy
Vijana mkoani Iringa wamekumbushwa kufuatilia na kuchambua sera za vyama vya siasa katika kipindi hiki cha kampeni ili kuepukana na vitendo vya rushwa toka kwa wagombea.