Wasanii tuwe makini na wagombea kututumia - Darasa
Zikiwa zimebaki wiki mbili na siku chache tu na kampeni zikiwa zimeshika kasi ili Watanzania wapige kura, msanii Darasa ametoa wito kwa wasanii wenzake ambao wanashiriki kwenye kampeni hizo, na kuwataka kuwa makini na wagombea wanaowatumia wasanii