Kura utapiga ulipojiandikisha tu - Kawishe NEC Imeelezwa kwamba siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu, mwananchi atalazimika kupiga kura mahali alipojiandikishia, kwa mujibu wa sheria ya Taifa ya uchaguzi. Read more about Kura utapiga ulipojiandikisha tu - Kawishe NEC