Pinda awataka wananchi wajitokeze kwa wingi Okt.25

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura Oktoba 25, mwaka huu, na kwamba wasiwe na hofu yoyote kwa vile serikali imejipanga vyema katika suala zima la ulinzi, ili uchaguzi huo ufanyike kwa amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS