Ndugu wa Lupita naye apata shavu
Baada ya kun'gara kwa muigizaji nyota aliyetwaa tuzo ya Oscar Lupita Nyongo, hivi sasa nyota inazidi kung'ara katika familia yao ambapo kaka yake na Lupita anayeitwa Peter amekula shavu kuigiza huko Hollywood nchini Marekani.