Wasanii Uganda kumsaidia Katumba msanii wa muziki wa Uganda Mamuli Katumba Wasanii nchini Uganda pamoja na wasamaria wema watakusanyika pamoja katika kuchangisha fedha za kumsaidia matibabu mwanamuziki mkongwe, Mamuli Katumba ambaye amekuwa mgonjwa kitandani kwa miezi kadhaa sasa. Read more about Wasanii Uganda kumsaidia Katumba