Serikali ijayo izingatie mahusiano bora - Shyrose
Serikali ijayo imetakiwa kutoa kipaumbele kikubwa katika kujenga mahusiano bora ya kimataifa hususani Afrika Mashariki, kwa kutenga bajeti ya kutosha katika wizara hiyo, ili kuweza kujenga hali nzuri ya kiuchumi hususani kwa vijana.