Duni ashindwa kunadi wagombea Buyungu na Kasulu
Mgombea Mwenza wa urais wa Tanzania kupita Chadema anayeungwa mkono na UKAWA, Mh. Juma Duni Haji amewataka wagombea wa ubunge katika majimbo tofauti kuheshimu maamuzi ya viongozi wa UKAWA ya kuachiana majimbo ili kuepuka kugawana kura.