Maamuzi ya tume ya kisera kuhusu upigaji kura Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva Tume imetoa maamuzi ya kisera yanayoelezea mambo ambayo yatamfanya mpiga kura aweze kuruhisiwa kupiga kura au kuzuiliwa kupiga kura kutokana na changamoto mbalimbali. Read more about Maamuzi ya tume ya kisera kuhusu upigaji kura