Amani na usalama kwa wanawake chachu ya maendeleo
Amani na usalama kwa wanawake ndiyo chachu ya maendeleo kwa kundi hilo amesema Naibu waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana wakati akilihutibia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa ambalo limejadili azimio namba 1325.