Tunaandaa Kliniki ya walimu wa kikapu - Mgunda
Msimamizi wa mchezo wa mpira wa kikapu kwa vijana katika kituo cha michezo cha vijana cha Jakaya Kikwete JMK Youth Park Bahati Mgunda amesema, wapo katika mikakati ya kuwa na kliniki kwa ajili ya walimu wa michezo mashuleni.