Linah abadilishwa na penzi zito
Star wa muziki Linah ambaye sasa anaonekana kuwa na furaha kubwa kabisa katika maisha yake ya kimapenzi ambayo si ya kificho tena, amesema anajionea mabadiliko makubwa, familia, mashabiki wake wakiwa wameilewa safari yake hii mpya ya penzi hadharani.